Iran imemnyonga mwanaume mmoja aliyekuwa akituhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Israel, kwa mujibu wa shirika la habari la Mizan, ambalo lilimtaja kwa jina la Kurosh Keyvani.
Mwanamume huyo alipatikana na hatia ya “kuipatia shirika la ujasusi la Israel, Mossad, picha na taarifa kuhusu maeneo...