Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesisitiza mvua kubwa za El Nino zipo na zitakuwa kubwa kuliko zilizotangulia.
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Ladislaus Chang’a alisema El Nino inaendelea kuimarika na itaendelea kuimarika mwezi ujao na kumairika huko kunadhihirishwa na kuongezeka kwa kiwango...