intaneti tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Usajili wa Intaneti Tanzania Wafikia Milioni 62, ongezeko la 6%

    Idadi ya usajili wa intaneti nchini Tanzania imepata ukuaji mkubwa na kufikia 62,793,986 kufikia mwezi Juni 2026. Ukuaji huo unadhihirisha kasi ya mabadiliko ya kidijitali na kuongezeka kwa matumizi ya huduma za mawasiliano nchini. Akiwasilisha Ripoti ya Hali ya Sekta ya Mawasiliano ya mwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Vodacom router bure kabisa kwa shuleni, hospitali na zahanati za serikali

  3. JamiiForums Tanzania Mko wangapi kwenu mnaotumia mitandao ya kijamii?

    Sio kwamba najisifia la! hasha! Kuna wakati huwa natamani hata kaka yangu au dada yangu au ndugu wengine wa karibu waone au wasome nilichokiweka mtandaoni lakini inakuwa ngumu. Katika familia yangu baba ana wanawake wa nne hivo watoto jumla tulio hai tupo 27, mimi ni wa 5 upande wa mama yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…