Iftar (Arabic: إفطار, romanized: ifṭār) is the fast-breaking evening meal of Muslims in Ramadan at the time of adhan (call to prayer) of the Maghrib prayer.
This is their second meal of the day; the daily fast during Ramadan begins immediately after the pre-dawn meal of suhur and continues during the daylight hours, ending with sunset with the evening meal of iftar.
In 2023 UNESCO added iftar to its list of Intangible Cultural Heritage.
Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma.
Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali.
Akizungumza kwa niaba...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025...
Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025.
Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...