idadi ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana. Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+ Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake. Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
  2. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki inakadiliwa kufikia mwaka 2050, itakuwa na jumla ya watu milioni 583

    Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa. Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
  3. JamiiForums Tanzania Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi', Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…