Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote?
Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo yote. Ulipokaribia uchaguzi ukamweka Lissu ndani bila kosa kwa kuogopa ushindani. Siku ya uchaguzi...