Katika mahojiano kwenye chombo cha habari cha Azam tv Dkt. Johannes Mfwili amesema kuwa matumizi ya kope bandia yanaweza kusababisha madhara kwenye macho, ikiwemo upofu, kutokana na gundi inayotumika kuunganisha kope hizo, ambayo inaweza kuathiri kope halisi na afya ya macho.
Aidha, amesema...