houth

The Houthi movement (; Arabic: الحوثيون al-Ḥūthiyūn [al.ħuː.θi.juːn]), officially known as Ansar Allah (أنصار الله ʾAnṣār Allāh, lit. 'Supporters of God'), is a Shia Islamist political and military organization that emerged from Yemen in the 1990s. It is predominantly made up of Zaidi Shias, with their namesake leadership being drawn largely from the Houthi tribe.
Under the leadership of Zaidi religious leader Hussein al-Houthi, the Houthis emerged as an opposition movement to Yemen President Ali Abdullah Saleh, whom they accused of corruption and being backed by Saudi Arabia and the United States. In 2003, influenced by the Lebanese Shia political and military organization Hezbollah, the Houthis adopted their official slogan against the United States, Israel, and the Jews. Al-Houthi resisted Saleh's order for his arrest, and was afterwards killed by the Yemeni military in Saada in 2004, sparking the Houthi insurgency. Since then, the movement has been mostly led by his brother Abdul-Malik al-Houthi.
The organization took part in the Yemeni Revolution of 2011 by participating in street protests and coordinating with other Yemeni opposition groups. They joined Yemen's National Dialogue Conference but later rejected the 2011 reconciliation deal. In late 2014, the Houthis repaired their relationship with Saleh, and with his help they took control of the capital city. The takeover prompted a Saudi-led military intervention to restore the internationally recognized government, leading to an ongoing civil war which included missile and drone attacks against Saudi Arabia and its ally United Arab Emirates. Following the outbreak of the 2023 Israel–Hamas war, the Houthis began to fire missiles at Israel and to attack ships off Yemen's coast in the Red Sea, which they say is in solidarity with the Palestinians and aiming to facilitate entry of humanitarian aid into the Gaza Strip.
The Houthi movement attracts followers in Yemen by portraying themselves as fighting for economic development and the end of the political marginalization of Zaidi Shias, as well as by promoting regional political–religious issues in its media. The Houthis have a complex relationship with Yemen's Sunnis; the movement has discriminated against Sunnis but has also allied with and recruited them. The Houthis aim to govern all of Yemen and support external movements against the United States, Israel, and Saudi Arabia. Because of the Houthis' ideological background, the conflict in Yemen is widely seen as a front of the Iran–Saudi Arabia proxy war.

View More On Wikipedia.org
  1. Kundi la Wahouthi laanza kumomonyoka kwa kasi

    Afisa Mwandamizi wa Houthi Amejiondoa kutoka kwa safu ya makamanda wa Houthi Kamanda wa Kikosi cha 10 cha Houthi "Samad," Amid Salah Moqbel Al-Salahi, alitoa wito kwa askari wake "kurejea kwenye kukumbatia nchi na jamhuri" na anadai kuona "uhalifu, dhuluma, dhuluma, na kiburi" cha magaidi wa...
  2. Magaidi ya Houth wanalazimisha watu waandamane ili wapate misaada ya chakula huko Yemen!!!!

    REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters...
  3. A

    Al Houth walivyo ipiga ndege ya Israeli zingine zikakimbia

    Israel hawezi kusema ndege yake imewashwa moto huko Yemen https://youtu.be/9xTlZHMZVEU?si=24Rrt9mJsqn5U76a
  4. Wahouth wateka nyara wafanyakazi 11 wa UN baada ya shambulio la Israel huko Sana’a

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi. Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel ya wiki iliyopita ambayo yaliangamiza karibu serikali nzima ya Houthi. Utawala wa kigaidi...
  5. Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
  6. Meli ya tatu yazamishwa na Houth sambamba na kuipiga Israel makombora mawili yaliyotua shabaha yake Tel Aviv na Jerusalem

    Meli moja kubwa ya mizigo ikielekea Israel kupitia Red Sea imepigwa kwa njia tofauti kulazimsiha mabaharia wote kujiokoa wakiicha meli hiyo ikiwaka na kunywa maji. Njia zilizotumika ni kutumia droni za baharini ambapo mbili zilifanikiwa kuigonga meli hiyo wakati moja iliwahi kuharibiwa na...
  7. Wahouthi wadai kufyatua makombora mawili kuelekea Israel.

    Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema kombora moja la masafa marefu lililolengwa kuelekea Israel liliingiliwa kati...
  8. Magaidi wa Houth warusha kombola Israel tena!

    Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
  9. Houth wanatakiwa wapigwe sehemu zifuatavyo ili kuwadhoofisha!!

    Je, Israel inaweza kushambulia malengo gani ili kudhoofisha utawala wa Houthi? Kufikia sasa, Israel imeshambulia bandari, mitambo ya saruji, mitambo ya kuzalisha umeme na viwanja vya ndege nchini Yemen. Marekani, kwa upande wake, ilishambulia shabaha nyingi za kijeshi kwa kiwango kikubwa...
  10. Houth wanachezea Shurubu za Simba!!

    Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga, hakuna majeraha yaliyoripotiwa.
  11. Lebanon haitakuwa salama kwa mdomo pekee,bila kuwaachia Hzbullah na Hamas kuifanyizia Israel kama vile wanavyofanya Houth

    Lebanon imehamanika kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita na bado kila siku inapigwa katika ya Beirut. Kama kweli wanakerwa na mashambulio hayo basi serikali ya nchi hiyo haina budi iache kuwafutata futata Hizbulllah na Hamas ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakipambana na jeshi la Israel baada...
  12. Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  13. Wamarekani wanajisifu kwa Houth wameshindwa kuizamiza Carrier yao ila kwa sas haifai kwa matumizi

    Wamarekani hawapendi kuonekana wamefel watazua hata sababu za kijinga ili ionekane adui hajafanikiwa lakini ukija kwenye uhalisia ni kwamba US kapasuka.
  14. Houth huko Yemen bado wana kibarua kigumu sana!

    Majeshi ya Marekani bado yanaendeleza kipondo kwa Wahouth huko Yemen baada ya wao kununua ugomvi usiowahusu. Majeshi ya Marekani usiku huu yameshusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi hao na kuacha bilion vikiwa vimetanda kwenye maeneo yaliyoshambuliwa na majeshi hayo.!!!
  15. M

    Leo wa Houth wamechezea kichapo mpaka wamelia "maaa" Free Yemen zimeshaanza kusikika

    Mwana kulitaka mwanakulipata walisema wahenga,tulisha tanguliza tahadhari Yemen Italia siyo muda na ndo kinachoendelea hv sasa Wahouth wanaponzwa na udini Sasa inaanza kuwagharimu maana kichaa Trump kaingia mzigoni tuiombee Yemen Free Yemen
  16. WaHouthi wanatarajia kuondoshwa madarakani huko nchini Yemen

    Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran
  17. Mipasho imeibuka nchini Marekani iwapo kilichotumika kuwapiga Houth ndicho chenyewe,kwani matokeo ni tofauti.Pentagon nayo imepiga kimya.

    Mabomu makubwa kuliko yote yanayomilikiwa na jeshi la Marekani kabla ya yale ya nyuklia ni aina ya GBU-57/B Massive Ordnance Penetrator (MOP). Baadhi ya maafisa wa jeshi la Marekani wamethibitisha kuwa mabomu hayo yameshatumika mara kadhaa dhidi ya Houth tangu mwaka jana baada ya kutumwa kwa...
  18. Magaidi wa Houth wajaribu kuishambulia Jerusalem kwa makombola 2 ya ballistic

    Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa...
  19. Marekani yawaambia Houth" kama hamtaki tuwapige basi na nyinyi msitupige"

    Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata. Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi kushambulia meli na maeneo ya Israel baada ya Israel kuvunja makubaliano ya kusitisha vita. Mashambulizi...
  20. Trump aelezea kipondo wanachopata magaidi wa ki -houth huko yemen!!

    Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…