Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma.
Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo mgonjwa hatoyatumia.
Kwa sababu ni ngumu kwa watu kujua, huwa wanalipia dawa nyingi na kuzikabidhi...