hoja za udini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kwanini baadhi ya waislam wanafosi sana hii iwe vita vya kidini?

    Katika vita vya siasa kwa sasa ni vita kati ya wananchi na CCM Katika vita hivi tasisi kazaa za kidini zinatoa maoni yao juu ya ili tumeona baadhi ya wakristo wakiwa upande wa serekali na baadhi yao wakiwa upande wa wananchi. Ivo ivo kuna baadhi ya waislam tumewaona wakiwa upande wawananchi na...
  2. PostGE2025 Wanaotaka kutugawa kupitia Imani za dini zetu tuwakatae. Hoja za Udini hazina tija, tunawakosoa sababu ni watumishi wa Umma

    WKumekuepo na hoja za Udini hizi ni hoja mfu ambao wanaozitumia ni wale walioishiwa hoja na uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho au hawajui wa nachokisema Binafsi mimi naamini MUNGU yuko lakini sio kupitia hawa matapeli wa hizi dini zote Wanachokihubili hawakiishi Utapeli mtupu walio wengi...
  3. CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

    Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…