Kwa yeyote anayefuatilia hii kesi, atakubaliana nami kuwa Lissu amewazidi vibaya sana kwa hoja mawakili la serikali mpaka kufikia hatua ya hawa mawakili wake serikali kuiomba Mahakama itumie busara katika kufanya maamuzi badala ya sheria.
Hivyo, kama Mahakama itaamua kwa uhuru, ni wazi Lissu...