Mpaka sasa mamlaka ya maji “AUWSA” hawajatoa tamko lolote lile hali inayopelekea wakazi wa jijini hapo kubaki na sintofahamu.
1. Maji yamekuwa na mgao kama ambavyo imekuwa kwenye umeme. Bila shaka hawana jenereta. Utegemezi kwa Tanesco.
2. Hata pale maji yanapotoka yamekuwa na chumvi isivyo...