Unajiuliza nini dhima ya hirizi maungoni? Unakuja kugundua mvaaji kapewa ili IMLINDE!
Imlinde na uchawi
Imlinde na wanga
Imlinde na chuma ulete
Imkinge na mambo yote mabaya
Impe mvuto
Impe ngekewa nknk
Unatafakari vile ilivyo.. Je ina uwezo wa kufanya yote haya? Ni kweli kabisa hirizi ni kubwa...