Wakuu salaam! Naomba kwa anaejua atanabaishe hints za interview za chemistry/biology/physics teaching methods kwa tutorial assistant interview kwa chuo kama DUCE. Uwa wanauliza nini zaidi? Je, wanauliza kuhusu teaching and leaning methods? Au wanajikita kwenye bio/chem/phys concepts? Mwenye idea...