Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight ๐ก.
Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...