hifadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba hifadhi Dodoma

    Habari wapendwa!! Natumaini mko salama kabisa, Ndugu zangu mimi nimeitwa Dodoma kwa ajili ya usaili/interview lakini sasa changamoto ni Makazi maana kifedha niko vibaya sana nauli yenyewe Naunga unga tu, ili nifike nijaribu Bahati Yangu, hivyo naomba mwenye msaada wa kunihifadhi ili nikifika...
  2. JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Mdee na Bulaya kwa kuzungumzia mifuko ya Hifadhi ya Jamii Bungeni

    Habari zenu wadau. Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni kutetea wastaafu ambao ndio wachangiaji na wanufaika wa mifuko hii. Ni mara nyingi tumesikia wabunge...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi waishio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro waomba washirikishwe katika kutafuta suluhu ya kudumu ndani ya eneo hilo

    Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na mhe.Dr Damas ndumbaro(MB) watafute suluhisho la kudumu ndani ya wenyeji waishio ndani ya mamlaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…