Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza," amesema Eng. Hersi, huku akijibu maswali na Kituo cha Redio EFM kuhusu hatma...