Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani?
Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo.
Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali.
Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...