Kila kona ya nchi watu wanalalamikia mfumo wetu wa elimu. Kama ni elimu ya vitendo hata VETA ipo.
Je, wewe ungepewa nafasi ya kubadilisha mfumo wa elimu ungefanya nini?ungeboresha nini?
Weka hoja ya msingi tafadhali.
HALI ILIVYO NA MAMBO YA KUANGAZIA:
Bado kuna ombwe kubwa la kutofautiana katika ujuzi na maarifa miongoni mwa baadhi ya wahitimu wa vyuo tofauti waliosomea shahada zinazoshabihiana.
Aidha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu na wahitimu wa vyuo hivyo wamechagua au wamesomea shahada za fani...