Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo.
Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code.
Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok.
Sasa mnaifungia jamii...
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu.
Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo.
Tunaomba Mamlaka...