Huyu ni Hassanal Bolkiah Kiongozi Mkuu wa Brunei (Sultan) Tangu Mwaka 1967. Ni Mmoja wa Matajiri Wakubwa Duniani. Shamba la Mifugo Analolimiliki Huko Australia ni Kubwa Sana Zaidi ya Ukubwa wa Nchi Yake Yote ya Brunei. Shamba Lake Kilomita za Mraba 5959, Nchi ya Brunei Kilomita za Mraba 5765...