Mpo salama!
0. Wakati baadhi ya vijana kama kina Lucas wakijiingiza kwenye uchawa kwa sababu ya Woga na tabia za kujidhalilisha. Wanawake wengi sasa wanajiingiza kwenye mapigano ya haki(harakati)
Ama kweli lile andiko linasolema Mungu ameumba jambo jipya. Mwanamke atamlinda mwanaume linaenda...