Mwandishi wa Habari wa BBC akionesha hali ilivyo katika Jiji la Dar es salaam leo Desemba 9, 2025, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 64 kumbukumbu ya siku ya uhuru.
Ikumbukwe kufuatia madai ya kuwepo kwa maandamano, Serikali kupitia mamlaka zake ikiwemo Wizara ya Mambo ya ndani ilisema kuwa...