haki za kikatiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  2. Mahakama na Misuse of Power: Uhalisia wa Kuvunjwa kwa Haki za Kikatiba kwa Kesi ya Tundu Lissu

    Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
  3. PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  4. Kigezo cha kusimamia Uchaguzi kwa Watumishi wa Umma na uvunjaji wa Haki za Kikatiba za Watanzania

    Kigezo cha kuwa mtumishi wa umma ili kumiliki nafasi ya kusimamia uchaguzi kinatoa changamoto kubwa kuhusu haki ya usawa katika ajira na ufikiaji wa fursa. 1. Haki ya Kazi Kikatiba: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, kila Mtanzania ana haki ya kupata nafasi ya...
  5. I

    SoC04 Je, kuna umuhimu wa elimu ya kutambua haki za kikatiba wa Watanzania?

    Nimetafakari kinachoendelea nchini Kenya na uwezo wa vijana hao (Gen - Z) kudai haki zao kikatiba. Hali hii imekua tofauti katika nchini yetu licha ya kukabiliwa na chanagmoto zinazofanana na wenzetu; vijana hawana habari kabisa na masuala ya msingi ya haki za kikatiba; hawahoji, wapo busy na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…