haki na usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Jukwaa la Katiba Tanzania Watoa tamko la kulaani uvunjaji wa katiba nchini unaofanywa na vyombo vya Kulinda haki na Usalama wa raia

    Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) tunalaani vikali utamaduni mbaya ulioanza kujengeka nchini kwetu miaka ya hivi karibuni ambapo vyombo vya umma vya kusimnamia haki na na kulinda usalama wa raia vimekuwa vikivunja Katiba kwa kuwatendea maovu raia. Utamaduni huo umeanza kujitokeza katika...
  2. Mahitaji muhimu ya mwanadamu yameongezeka sana, sasa sio chakula, malazi na mavazi tu, ila elimu, gari, internet na biashara/ kazi, haki na usalama

    Zama zile za kati, mahitaji ya mwanadamu ya msingi yalikuwa matatu tu. Lakini sasa mambo yamebadilika kabisa. Leo tunahitaji internet kama hutaji muhimu la mawasiliano, bila internet mawasiliano yetu yako kwenye mashaka makubwa sana. Maisha ya leo bila kuwa na biashara au KAZI, wewe ni mfu na...
  3. Humbleness is pretend

    Hakuna mtu yoyote mwenye pride duniani akamaliza maisha yake salama.. Its written in the all holly books. Wahenga wamezungumza, methali za kiswahili zimesema "" Hakuna usalama kwa mtu mwenye pride"" Viburi vingine tunavyo vipotray kwenye nyumba zetu, kwenye familia zetu, kwenye jamii zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…