Habari wakuu naombakuuliza hao jamaa nimefanya nao interview mbili za oral .....na kazi yao niliomba kupitia empower... nifanye na walisema interview ile ya pili ndo ya mwisho....sasa hadi sasa nimeingia wiki la pili kimya ..naomba kujua kama kuna mtu pia alifanya kama walisha ita au kimya na je...