Muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kukiri kumshikilia, Godlove Materu, wakili wake, Aloyce Komba amelihoji Jeshi la Polisi maswali matano, akisema taarifa hiyo:
Soma pia: Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane
1. Wanamshikilia katika kituo gani cha polisi...
Wakuu,
Chama cha Madereva wa Malori kilitoa tamko ikiwa mwenzao hajapatikana ndani ya siku 2 kuanzia Jumapili wangefanya mgomo, hii ni baada ya mwenzao kudaiwa kuchukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa polisi, ambapo jitihada za kumtafuta katika vituo mbalimbali hazikuzaa matunda.
Baada ya...