Kwa miaka mitano iliyopita, mwananchi wa Kenya ameshuhudia gharama ya maisha ikibadilika kwa kasi. Kuanzia sokoni hadi kituo cha matatu, kiasi cha pesa kinachohitajika kukidhi mahitaji ya kila siku kimeongezeka.
Takwimu za Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) zinaonyesha kuwa inflation...