Klabu ya Bayern Munich inadaiwa kuwa inajianda kusitisha mpango wa mazungumzo ya mkataba mpya na mshambuliaji wao mkongwe, Thomas Muller kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza huku umri nao ukionekana kuanza kumuacha.
Kocha wa Bayern, Vincent Kompany amekuwa akiwatumia...