Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kufanya mageuzi makubwa katika Idara ya Magereza endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, kwa kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya stadi za maisha na kulipwa posho kwa kila kazi watakayofanya, ili ziwe mtaji wa kuanzisha...