Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali akiwa katika Mahojiano na Shirika la Habari BBC alijibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa?
Alieleza kuwa ilitarajiwa kuwa watanzania wa Bara ni watulivu na hata mamlaka mbalimabali za...