MAREKANI: Kocha Ruben Amorim amesema yupo tayari kuwarejesha kwenue kikosi chake cha Manchester United ambao hawpao kwenue mipango yake kama hakutakuwa na timu itakayofikia kiwango cha bei kinachotakiwa na klabu ili kuwauza.
Wachezaji hao ni Alejandro Garnacho, Jadon Sancho, Antony na Tyrell...