Wajuvi wa mambo,
Kama heading inavyosema. Hivi, hapa Dar/Tz duka gani huuza vifaa vya elektoniki mfano simu, kompyuta , camera, n.k. halisi kabisa? Yani ninunue, niweze kusajili kifaa changu kwenye website ya manufacturer,kwa mfano, kama wafanyavyo mbele huko.
Je, ni kweli nikiingia maduka...