Habari zenu,
Ni mwaka wa 9 sasa nimekuwa nikizunguka na kampuni X nikiwa kama fundi umeme wa kampuni ilihali sijasomea io taaluma, nimekuwa ni mtu wa kujisomea majarida na vitabu mbalimbali vinavyohusu masuala ya umeme pamoja na kufundishwa na wabobezi wangu.
Nimefanya shughuli za ufundi umeme...