Habari wanaJF, wajuvi wa mkoa wa Mtwara, samahani, ningependa kufahamu kodi za fremu Mtwara, haswa kwa biashara ya nguo za kiume au kike, ningependa kujua kwa yale maeneo yenye mzunguko mkubwa.
Asanteni.
PPP Kwenye ujenzi wa Flemu za Biashara wangeachiwa manispaa tu huku Tume ya Mipango ilijikita Kwenye PPP kubwa kubwa
Mfano Flemu za Biashara pale Makumbusho Daladala stand ni PPP ya Manispaa ya Kinondoni na mwekezaji wa Ndani kutoka Iringa
Ahsanteni Sana 😂