francis ciza majizzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Wakazi: Majizo "usijipe umuhimu"

    Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania Wakazi amemjibu Mkurugenzi wa kituo cha Habari cha efmradio Majizzo baada ya Majizzo kuzungumza leo Desemba 11 na kuwaombea msamaha kwa wananchi juu ya kinachoendelea juu ya wasanii na mashabiki zao.
  2. GE2025 Majizzo apata ajali mbaya akiwa kwenye kampeni za CCM Zanzibar, wawili wafariki

    Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili. Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…