Habari kama kichwa kinavyojieleza
Ninahitaji warehouse yenye sifa zifuatazo
1.Iwe na ukubwa wa120 sqm
2.Iwe certified na TBS kwa ajili ya kuhifadhia Food Products
3.Iwe na refrigerator au AC itakuwa poa zaidi
4.Location iwe Dar es Salaam
KAMA KUNA MWONGOZO MWINGINE ZAIDI YA HAYO...