fomu za urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fomu za urais wa shithole

    Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi? Just curious tu wandugu, povu ruksa
  2. GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  3. GE2025 Hatutoi Fomu za urais. Hamtaki hameni chama

    Na bado! Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi! Na bado
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…