fiston mayele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

    Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC. Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli ya Fiston Mayele kuhusu Tuzo ya Mfungaji Bora 2021/22, mbio za Yanga ubingwa wa Ligi Kuu

    Mara baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabo 3-0 ambao wameupata dhidi ya Kagera Sugar, straika wa Yanga, Fiston Mayele amezungumza kwa ufupi kuhusu ushindi huo, mbio za ubingwa na kasi yake katika kuwania Tuzo ya Mfungaji Bora Msimu wa 2021/22: “Namshukuru Mungu kwa matokeo haya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabeki wa NBC Premier League nitafuteni upesi niwape 'Twisheni' ya Kumalizana 'Kisela' na Fiston Mayele tupumzike na Kero Mitaani

    Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea. Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana...
  4. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele, Baraza, wabeba tuzo za Mwezi Ligi Kuu Bara

    FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022 FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022. JOHN NZWALLA - Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Januari, 2022. #NelsonMandela
  5. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa! Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…