Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐น๐ฟ๐
Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa.
๐ Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...