Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya, ameeleza kuwa kuna dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa Watanzania kuhusu Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Field Force Unit (FFU), ambacho watu wengi wanakiita kwa jina la 'Fanya Fujo Uone'.
Amesema dhana hiyo ya 'Fanya Fujo Uone' si sahihi, kwani...