Jumla ya Wanafunzi wapatao 114 wa Shule ya Msingi FEZA ya jijini Dar Es Salam walioambatana na walimu wao 12, Mei 3, 2025 walitembelea Ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambapo walipata wasaa wa kutembelea mradi wa Jengo jipya lililo katika hatua za mwisho za kukamilika...