feitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  2. Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

    Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote. Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea. Nitakumbuka...
  3. Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  4. C

    Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

    Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu. Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu. Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto, timu yenu ni Kama Ihefu tu Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…