Inawezekana umeshtuka kidogo ๐, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.
Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...