Hatimae Simba tumemaliza ukame wa Makombe!
Haikuwa kazi rahisi, lakini kazi hii ilirahisishwa na kocha Fadlu.
Yeye aliona Hana uwezo wa kuleta Makombe na Simba tulimwamini kuwa uwezo anao, akaona isije kuwa shida mbeleni. Akaamua kulala mbele!
Angekuwepo Hadi Leo tungekuwa bado tunajenga timu...