eugene kabendera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Mwasisi CHAUMMA, Eugene Kabendera ajiunga CHADEMA

    Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
  2. PreGE2025 Mmoja ya waasisi wa CHAUMMA, Eugene Kabendera aachana na ubwabwa wa Rungwe, asema Chama hakiendani na maono yaliyofanya wakianzishe

    Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho baada ya kulitumikia kwa miaka 13. Kabendera, ambaye aliwahi kuwa msemaji rasmi wa kwanza wa chama, Naibu Katibu Mkuu wa Tanzania Bara, na Mwakilishi wa CHAUMMA katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…