Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...