Kama wewe unatumia Game la Efootball Ambalo ni offline modded basi Kuna Habari mbaya kwako ๐
KONAMI imetoa onyo kali kwa watumiaji wa Modded eFootball na programu zisizoidhinishwa zinazobadilisha mfumo wa mchezo. Ukiukaji wa masharti unaweza kusababisha akaunti yako kusimamishwa au kufungiwa...