droni

Drøno (also spelled Drønen, Drøna or Drøni) is an island in Austevoll municipality in Vestland county, Norway. The 1-square-kilometre (250-acre) island lies just off the west coast of the larger island of Huftarøy. There is a road bridge over the 7-metre (23 ft) wide channel of water separating Drøna from Huftarøy. People of Drønen are called Drønskrabbe (Drønen Crab).

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Wataalamu wa Kijeshi wa Ukraine Wapelekwa Mashariki ya Kati Kudhibiti Droni za Iran

    Makundi ya wataalamu wa kijeshi kutoka Ukraine yametumwa nchini Qatar, Falme za Kiarabu (UAE), na Saudi Arabia kusaidia mataifa hayo kujilinda dhidi ya ndege zisizo na rubani (droni) zinazorushwa na Iran. Mashambulizi haya ya Iran ni ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi makubwa ya anga...
  2. TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

    Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne. Reuters imemnukuu mwanadiplomasia wa eneo hilo, afisa mmoja mwandamizi wa kundi hilo na mshauri wa serikali ya nchi...
  3. DRC: Sehemu ya uwanja wa ndege wa Kisangani walipuliwa na droni za AFC/M23

    Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto. Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
  4. Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  5. W

    Droni yarekodi Hamas wakifyatua risasi kwa raia wa Gaza waliokwenda kuchukua msaada wa Israel, wanazuia watu kupata chakula wanasingizia Israel

    Kwa muda mrefu imekuwa kawaida kwamba misaada ya kibinadamu inayoingia Gaza husimamiwa na Hamas. Lakini badala ya kuisambaza kwa raia wanaohitaji, mara nyingi misaada hiyo huuziwa sokoni au hufichwa kwa manufaa ya kundi hilo. Israel iliamua kuchukua hatua tofauti kwa kusambaza misaada moja kwa...
  6. Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  7. U

    Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  8. Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
  9. Jeshi la Yemen laipiga Tel Aviv kwa droni mpya ya 'Jaffa', taharuki yatanda

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel kushindwa kutungua shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) lililofanywa na jeshi la Yemen dhidi ya mji wa bandari wa Jaffa (Yafa) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, viungani mwa...
  10. S

    Iran yalidogesha shambulio la Israel, yasema droni zilizotumika ni kama "matoi"

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo akaendelea kuchambua kuwa silaha zilizotumika zinazodaiwa kuwa ni droni (tatu) kiuhalisia ni kama...
  11. Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Habari za muda huu. Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan...
  12. Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  13. Korea Kaskazini yajaribu mfumo wa droni za kimkakati za chini ya maji

    Korea Kaskazini imesema wiki hii imefanya jaribio lingine la droni ya mashambulizi ya chini ya maji yenye uwezo wa nyuklia. Tahariri ya leo Jumamosi ya gazeti la chama tawala cha Wafanyakazi imesema taasisi ya taifa ya utafiti wa sayansi ya ulinzi ilifanya jaribio hilo kwa siku nne hadi jana...
  14. Marekani yasema hawatoweza kuipata droni yao kwani Urusi imewahi eneo la tukio

    Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na meli zao kuitafuta droni hiyo. Mwanzoni mnadhimu mkuu wa majeshi ya Marekani generali Mark Milley...
  15. S

    Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!

    Pentagon yakiri kuwa droni zinazonasibishwa na Muajemi (Iran) zimekuwa "pasua kichwa" kwa Ukraine, US na NATO kwa ujumla. Afisa mwandamizi wa Pentagon amesema droni hizo zinachoma vibaya magarivita ya NATO yaliyopelekwa Ukraine (armored vehicles), mifumo ya ulizi wa anga, mikusanyiko ya...
  16. Droni za Iran zaleta taharuki Ukraine

    Mwanzo ilikuwa kama tetesi na mshangao kuwa Iran imeiuzia au imeipa zawadi Urusi droni zake ili zishiriki kuitandika Ukraine.Na hata raisi wa Ukraine mwanzoni alizitaja droni kuwa haziwezi kazi na hazitobadilisha kasi yao ya kuteka miji ya Urusi.Mambo yamebadilika tangu wiki mbili zilizopita...
  17. S

    Marekani yalalamika kuwa Urusi imetumia droni za Iran kuangamiza ngome za jeshi la Ukraine karibu na bandari ya Odesa

    Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Ukraine lasikitika kuwa mashambulio hayo ya droni za Muajemi pia yameunguza maghala ya silaha za jeshi la Ukraine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…