dkt tulia akson

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mume wa Dkt. Tulia (Dkt. James Andilile) alitumbuliwa, ikiwa mafuta yanapanda bei namna hii?

    Dkt. Tulia alitangaza kugombea usipika GHAFLA akabadili gia angani, sijui nini kilimsibu ila lipo jambo ndani ya CCM lilijitokeza. Sizungumziii hata like la Majaliwa, maana staki nongwa mimi. Juzi mume wa Dr Tulia, kaliwa kichwa. Na Rais na hakutoa sababu lakini inasemekana ni upandaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…